bible.software › Leviticus › Leviticus 13 › Leviticus 13:36
Leviticus 13:36
kuhani atamchunguza, na kama upele umeenea kwenye ngozi, kuhani hana haja ya kutazama kama kuna nywele za manjano, mtu huyo ni najisi.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Then the priest shall look on him: and, behold, if the scall be spread in the skin, the priest shall not seek for yellow hair; he is unclean.
In Context
35Lakini ikiwa upele utaenea juu ya ngozi baada ya kutangazwa kuwa safi,
37Hata hivyo, katika uchunguzi wake akiona hapajabadilika, na nywele nyeusi zimeota juu yake, upele umepona. Yeye si najisi, kuhani atamtangaza kuwa safi.
Read all of Leviticus 13
Cross References
Leviticus 14:39Siku ya saba, kuhani atarudi kuikagua nyumba. Kama upele umeenea juu ya kuta,
This Verse In Other Editions
Study Leviticus 13:36