bible.software › Leviticus › Leviticus 13 › Leviticus 13:54
Leviticus 13:54
ataagiza kwamba kifaa chenye maambukizo kisafishwe. Kisha atakitenga kwa siku saba.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Then the priest shall command that they wash the thing wherein the plague is, and he shall shut it up seven days more:
In Context
53“Lakini wakati kuhani atakapokichunguza na kuona kuwa ule upele haujaenea kwenye nguo iliyofumwa au kusokotwa, au vifaa vya ngozi,
55Baada ya kifaa chenye maambukizo kusafishwa, kuhani atakichunguza, na kama upele haujaonyesha badiliko lolote, hata kama haujaenea, ni najisi. Kichome kwa moto, iwe upele umeenea upande mmoja au mwingine.
Read all of Leviticus 13
This Verse In Other Editions
Study Leviticus 13:54