bible.software › Leviticus › Leviticus 13 › Leviticus 13:7
Leviticus 13:7
Lakini ikiwa ule upele utaenea juu ya ngozi yake baada ya yeye kujionyesha kwa kuhani na kutangazwa kuwa safi, ni lazima aende tena kwa kuhani.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
But if the scab spread much abroad in the skin, after that he hath been seen of the priest for his cleansing, he shall be seen of the priest again:
In Context
6Siku ya saba kuhani atamchunguza tena, na kama kidonda kimepungua na hakijaenea juu ya ngozi, kuhani atamtangaza mtu huyo kuwa ni safi, ni upele tu. Ni lazima mtu huyo afue mavazi yake, naye atakuwa safi.
8Kuhani atamchunguza, na kama upele umeenea kwenye ngozi, atamtangaza kuwa najisi, kwani ni ugonjwa wa ngozi wa kuambukiza, yaani ukoma.
Read all of Leviticus 13
Cross References
Leviticus 13:35Lakini ikiwa upele utaenea juu ya ngozi baada ya kutangazwa kuwa safi,
Psalms 38:3Hakuna afya mwilini mwangu 2 kwa sababu ya ghadhabu yako, 1 mifupa yangu haina uzima 2 kwa sababu ya dhambi zangu. 1
Romans 6:12Kwa hiyo, msiruhusu dhambi itawale ndani ya miili yenu, ipatikanayo na kufa, ili kuwafanya mzitii tamaa mbaya.
This Verse In Other Editions
Study Leviticus 13:7