bible.software › Walawi › Walawi 14 › Walawi 14:26
Walawi 14:26
Kuhani atamiminia sehemu ya mafuta kwenye kiganja chake cha mkono wa kushoto,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And the priest shall pour of the oil into the palm of his own left hand:
In Context
25Atamchinja huyo mwana-kondoo kwa ajili ya sadaka ya hatia. Pia ataichukua sehemu ya damu yake na kuipaka kwenye ncha ya sikio la kuume la yule anayetakaswa, na aipake pia kwenye kidole gumba cha mkono wa kuume wa huyo mtu, na kidole kikubwa cha mguu wake wa kuume.
27na kwa kidole chake cha shahada cha mkono wa kuume, atamnyunyizia yule anayetakaswa yale mafuta yaliyo kwenye kiganja chake mara saba mbele za Bwana.
Read all of Walawi 14
This Verse In Other Editions
Study Walawi 14:26