Walawi 14:36
Kuhani ataagiza vitu vyote vitolewe ndani ya nyumba, kabla hajaenda kuchunguza kama ina ugonjwa huo, ili kitu chochote ndani ya nyumba kisitangazwe kuwa najisi. Baada ya hili, kuhani ataingia ndani na kuikagua hiyo nyumba.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Numbers 19:15nacho kila chombo kisicho na kifuniko juu yake kitakuwa najisi.
2 Timothy 2:17Mafundisho yao yataenea kama kidonda kisichopona. Miongoni mwao wamo Himenayo na Fileto
Revelation 18:4Kisha nikasikia sauti nyingine kutoka mbinguni ikisema: 1 “Tokeni katikati yake, enyi watu wangu, 2 ili msije mkashiriki dhambi zake, 2 ili msije mkapatwa na pigo lake lolote; 1