bible.software › Walawi › Walawi 14 › Walawi 14:38
Walawi 14:38
kuhani atatoka na kufunga mlango wa nyumba hiyo kwa siku saba.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Then the priest shall go out of the house to the door of the house, and shut up the house seven days:
In Context
37Atachunguza upele huo katika kuta za nyumba hiyo, nazo kama zina rangi ya kijani kibichi au wekundu, na kuna mibonyeo ndani ya ukuta,
39Siku ya saba, kuhani atarudi kuikagua nyumba. Kama upele umeenea juu ya kuta,
Read all of Walawi 14
Cross References
Leviticus 13:50Kuhani atachunguza upele huo na kukitenga kifaa hicho kwa siku saba.
This Verse In Other Editions
Study Walawi 14:38