Walawi 15:1
Bwana akawaambia Mose na Aroni,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And the LORD spake unto Moses and to Aaron, saying,
In Context
2“Semeni na Waisraeli mwaambie: ‘Wakati mtu yeyote anapotokwa na usaha mwilini, usaha huo ni najisi.
Cross References
Leviticus 13:1Bwana akawaambia Mose na Aroni,
Psalms 25:14Siri ya Bwana iko kwa wale wamchao, 2 yeye huwajulisha agano lake. 1
Hebrews 1:1Zamani Mungu alisema na baba zetu kwa njia ya manabii mara nyingi na kwa njia mbalimbali,