bible.software › Leviticus › Leviticus 17 › Leviticus 17:13
Leviticus 17:13
“ ‘Mwisraeli yeyote au mgeni anayeishi miongoni mwenu ambaye atamwinda mnyama au ndege anayeruhusiwa kuliwa ni lazima aimwage damu na kuifunika kwa udongo,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And whatsoever man there be of the children of Israel, or of the strangers that sojourn among you, which hunteth and catcheth any beast or fowl that may be eaten; he shall even pour out the blood thereof, and cover it with dust.
In Context
12Kwa hiyo, ninawaambia Waisraeli, “Hakuna hata mmoja wenu anayeruhusiwa kunywa damu, wala mgeni anayeishi miongoni mwenu haruhusiwi kunywa damu.”
14kwa sababu uhai wa kila kiumbe ni katika damu yake. Ndiyo sababu nimewaambia Waisraeli, “Kamwe msinywe damu ya kiumbe chochote, kwa sababu uhai wa kila kiumbe ni katika damu yake; yeyote atakayekunywa damu ni lazima akatiliwe mbali.”
Read all of Leviticus 17
Cross References
Leviticus 7:26Popote mtakapoishi, kamwe msinywe damu ya ndege yeyote wala ya mnyama.
Deuteronomy 12:24Hamruhusiwi kamwe kunywa damu; imwageni juu ya ardhi kama maji.
1 Samuel 14:32Watu wakarukia zile nyara, wakichukua kondoo, ngʼombe na ndama, wakawachinja hapo juu ya nchi na kuwala, pamoja na damu.
Ezekiel 24:7“ ‘Kwa kuwa damu aliyoimwaga ipo katikati yake: 2 huyo mwanamke aliimwaga 2 juu ya mwamba ulio wazi; 1 hakuimwaga kwenye ardhi, 2 ambako vumbi lingeifunika. 1
This Verse In Other Editions
Study Leviticus 17:13