Walawi 18:20
“ ‘Usikutane kimwili na mke wa jirani yako na kujitia naye unajisi.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Moreover thou shalt not lie carnally with thy neighbour’s wife, to defile thyself with her.
In Context
19“ ‘Usimsogelee mwanamke ili kukutana naye kimwili wakati wa unajisi wa siku zake za mwezi.
Cross References
Leviticus 20:10“ ‘Ikiwa mtu atazini na mke wa mtu mwingine, yaani mke wa jirani yake, wazinzi hao wawili lazima wauawe.
Deuteronomy 22:22Ikiwa mwanaume atakutwa akizini na mke wa mtu mwingine, wote wawili, mwanaume na mwanamke aliyezini naye, lazima wauawe. Lazima mwondoe uovu katika Israeli.
2 Samuel 11:3naye Daudi akatuma mtu mmoja kuuliza habari za huyo mwanamke. Huyo mtu akamwambia Daudi, “Je, huyu si Bathsheba binti Eliamu, naye ni mke wa Uria, Mhiti?”
Proverbs 6:25Moyo wako usitamani uzuri wake 2 wala macho yake yasikuteke, 1
Ezekiel 18:6Hakula katika mahali pa ibada za miungu 2 kwenye milima 1 wala hakuziinulia macho sanamu 2 za nyumba ya Israeli. 1 Hakumtia unajisi mke wa jirani yake, 2 wala hakukutana kimwili na mwanamke 2 wakati wa siku zake za hedhi. 1
Matthew 5:27“Mmesikia kwamba ilinenwa, ‘Usizini.’