bible.software › Leviticus › Leviticus 21 › Leviticus 21:4
Leviticus 21:4
Kamwe asijitie unajisi mwenyewe kutokana na wale watu ambao anahusiana nao kwa kuoana, na hivyo kujitia unajisi.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
But he shall not defile himself, being a chief man among his people, to profane himself.
In Context
3au dada yake asiyeolewa ambaye anamtegemea kwa kuwa hana mume, kwa ajili ya hao aweza kujitia unajisi.
5“ ‘Kamwe makuhani wasinyoe nywele za vichwa vyao wala wasinyoe pembeni mwa ndevu zao, au kuweka chale kwenye miili yao.
Read all of Leviticus 21
This Verse In Other Editions
Study Leviticus 21:4