bible.software › Leviticus › Leviticus 22 › Leviticus 22:26
Leviticus 22:26
Bwana akamwambia Mose,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And the LORD spake unto Moses, saying,
In Context
25na kamwe usikubali wanyama wa aina hii kutoka mkono wa mgeni ili kuwatoa wanyama hao kuwa chakula kwa Mungu wako. Wanyama hao hawatakubaliwa kwa niaba yako, kwa sababu wana vilema, nao wana dosari.’ ”
27“Wakati ndama, mwana-kondoo au mwana-mbuzi azaliwapo, atabaki na mama yake kwa siku saba. Kuanzia siku ya nane na kuendelea anaweza kukubaliwa kuwa sadaka iliyotolewa kwa Bwana kwa kuteketezwa kwa moto.
Read all of Leviticus 22
This Verse In Other Editions
Study Leviticus 22:26