Leviticus 22:33
na niliyewatoa katika nchi ya Misri niwe Mungu wenu. Mimi ndimi Bwana.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
That brought you out of the land of Egypt, to be your God: I am the LORD.
In Context
Cross References
Exodus 6:7Nitawatwaa mwe watu wangu mwenyewe, nami nitakuwa Mungu wenu. Ndipo mtajua kuwa mimi ndimi Bwana Mungu wenu, niliyewatoa chini ya kongwa la Wamisri.
Leviticus 11:45Mimi ndimi Bwana niliyewapandisha mtoke Misri ili niwe Mungu wenu. Kwa hiyo kuweni watakatifu kwa sababu Mimi ni mtakatifu.
Leviticus 25:38Mimi ndimi Bwana Mungu wako, niliyekuleta kutoka nchi ya Misri nikupe nchi ya Kanaani, nami niwe Mungu wako.