bible.software › Leviticus › Leviticus 23 › Leviticus 23:35
Leviticus 23:35
Siku ya kwanza ni kusanyiko takatifu, msifanye kazi zenu za kawaida.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
On the first day shall be an holy convocation: ye shall do no servile work therein.
In Context
34“Waambie Waisraeli: ‘Katika siku ya kumi na tano ya mwezi wa saba, Sikukuu ya Bwana ya vibanda itaanza, nayo itaadhimishwa kwa siku saba.
36Kwa siku saba toeni sadaka kwa Bwana za kuteketezwa kwa moto. Kwenye siku ya nane fanyeni kusanyiko takatifu, na mtoe sadaka kwa Bwana ya kuteketezwa kwa moto. Ni kusanyiko la mwisho, msifanye kazi zenu za kawaida.
Read all of Leviticus 23
Cross References
Leviticus 23:24“Waambie Waisraeli: ‘Katika siku ya kwanza ya mwezi wa saba mtakuwa na siku ya mapumziko, kusanyiko takatifu la ukumbusho litakaloadhimishwa kwa kupiga tarumbeta.
This Verse In Other Editions
Study Leviticus 23:35