Leviticus 24:20
iwapo amemvunja mfupa atavunjwa mfupa, jicho kwa jicho, jino kwa jino. Kama alivyomjeruhi mwenzake, vivyo hivyo ndivyo atakavyojeruhiwa.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
19Ikiwa mtu yeyote atamjeruhi jirani yake, chochote alichomtenda naye atatendewa:
21Yeyote auaye mnyama wa mtu lazima alipe fidia, lakini yeyote auaye mtu, lazima auawe.
Cross References
Exodus 21:23Lakini kukiwa na jeraha kubwa, ni lazima ulipe uhai kwa uhai,
Judges 1:7Ndipo Adoni-Bezeki akasema, “Nimewatendea wafalme sabini kama nilivyotendewa na kuwalisha makombo ya chakula chini ya meza yangu. Sasa Mungu amenilipa haya, kama yale niliyowatendea.” Wakamleta Yerusalemu, naye akafa huko.