Leviticus 24:6
Iweke katika mistari miwili, kila mstari mikate sita, uiweke mbele za Bwana juu ya meza iliyotengenezwa kwa dhahabu safi.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And thou shalt set them in two rows, six on a row, upon the pure table before the LORD.
In Context
Cross References
Exodus 25:30Utaweka mikate ya Wonyesho juu ya meza hii iwe mbele yangu daima. 1 Kinara Cha Taa (Kutoka 37:17-24)
Exodus 39:36meza pamoja na vyombo vyake vyote na mikate ya Wonyesho;
1 Kings 7:48Solomoni pia akatengeneza samani zote zilizokuwa ndani ya Hekalu la Bwana: 1 madhabahu ya dhahabu; 1 meza ya dhahabu za kuweka mikate ya Wonyesho; 1
2 Chronicles 13:11Kila asubuhi na jioni wao hutoa sadaka za kuteketezwa na kufukiza uvumba wa harufu nzuri kwa Bwana. Wao huweka mikate juu ya meza safi kwa taratibu za kiibada na kuwasha taa kwenye kinara cha dhahabu kila jioni. Sisi tunazishika kanuni za Bwana Mungu wetu. Lakini ninyi mmemwacha Mungu.
1 Corinthians 14:40Lakini kila kitu kitendeke kwa heshima na kwa utaratibu.