bible.software › Walawi › Walawi 25 › Walawi 25:15
Walawi 25:15
Utanunua ardhi kwa mzawa wa nchi yako kwa misingi ya hesabu ya miaka baada ya Yubile. Naye ataiuza kwako kwa misingi ya hesabu ya miaka iliyobaki kwa kuvuna mavuno.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
According to the number of years after the jubile thou shalt buy of thy neighbour, and according unto the number of years of the fruits he shall sell unto thee:
In Context
14“ ‘Ikiwa utauza ardhi kwa mmoja wa wazawa wa nchi yako, au ukinunua ardhi kutoka kwake, mmoja asimpunje mwingine.
16Miaka inapokuwa mingi, utaongeza bei, nayo miaka ikiwa michache, utapunguza bei, kwa sababu kile anachokuuzia kwa hakika ni hesabu ya mazao.
Read all of Walawi 25
Cross References
Philippians 4:5Upole wenu na ujulikane na watu wote. Bwana yu karibu.
This Verse In Other Editions
Study Walawi 25:15