Walawi 25:42
Kwa sababu Waisraeli ni watumishi wangu niliowaleta kutoka nchi ya Misri, kamwe wasiuzwe kama watumwa.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
43Usiwatawale kwa ukatili, lakini utamcha Mungu wako.
Cross References
Leviticus 25:55kwa maana Waisraeli ni mali yangu kama watumishi. Wao ni watumishi wangu, niliowatoa kutoka nchi ya Misri. Mimi ndimi Bwana Mungu wako.
Deuteronomy 15:13Nawe wakati utakapomwachia usimwache aende mikono mitupu.
1 Corinthians 7:21Je, wewe ulipoitwa ulikuwa mtumwa? Jambo hilo lisikusumbue. Ingawaje unaweza kupata uhuru, tumia nafasi uliyo nayo sasa kuliko wakati mwingine wowote.