bible.software › Leviticus › Leviticus 25 › Leviticus 25:46
Leviticus 25:46
Hao waweza kuwarithisha watoto wako kuwa urithi wao, na wanaweza kuwafanya watumwa maisha yao yote, lakini usiwatawale ndugu zako Waisraeli kwa ukatili.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And ye shall take them as an inheritance for your children after you, to inherit them for a possession; they shall be your bondmen for ever: but over your brethren the children of Israel, ye shall not rule one over another with rigour.
In Context
45Pia waweza kununua baadhi ya wakazi wa muda wanaoishi katikati yako, na jamaa ya koo zao waliozaliwa katika nchi yako, nao watakuwa mali yako.
47“ ‘Ikiwa mgeni au mkazi wa muda katikati yako atakuwa tajiri, na mmoja wa wazawa wa nchi yako akawa maskini, naye akajiuza kwa yule mgeni anayeishi katikati yako, au kwa mmoja wa jamaa wa koo za wageni,
Read all of Leviticus 25
Cross References
Isaiah 14:2Mataifa watawachukua 2 na kuwaleta mahali pao wenyewe. 1 Nayo nyumba ya Israeli itamiliki mataifa 2 kama watumishi na wajakazi katika nchi ya Bwana. 1 Watawafanya watekaji wao kuwa mateka, 2 na kutawala juu ya wale waliowaonea.
This Verse In Other Editions
Study Leviticus 25:46