bible.software › Walawi › Walawi 27 › Walawi 27:24
Walawi 27:24
Katika Mwaka wa Yubile, shamba litarudishwa kwa mtu yule ambaye lilinunuliwa kutoka kwake, yule ambaye ardhi ilikuwa mali yake.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In the year of the jubile the field shall return unto him of whom it was bought, even to him to whom the possession of the land did belong.
In Context
23kuhani ataamua thamani yake hadi Mwaka wa Yubile, naye huyo mtu atalazimika kulipa thamani yake siku hiyo kama kitu kitakatifu kwa Bwana.
25Kila thamani lazima iwekwe kulingana na shekeli ya mahali patakatifu, + 27:25 Shekeli moja ya mahali patakatifu ni sawa na gramu 11. gera ishirini kwa shekeli.
Read all of Walawi 27
Cross References
Leviticus 25:28Lakini kama hatapata njia ya kumlipa mnunuzi, ile mali aliyouza itabaki kumilikiwa na mnunuzi mpaka Mwaka wa Yubile. Mali hiyo itarudishwa mwaka wa Yubile, naye ataweza kuirudia mali yake.
This Verse In Other Editions
Study Walawi 27:24