Leviticus 6:28
Chungu cha udongo kitakachopikiwa nyama lazima kivunjwe, lakini kama imepikiwa kwenye chombo cha shaba, chombo hicho kitasuguliwa na kusuuzwa kwa maji.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
29Kila mwanaume katika familia ya kuhani aweza kula nyama hiyo; ni takatifu sana.
Cross References
Leviticus 15:12“ ‘Chungu cha udongo kitakachoguswa na mtu huyo ni lazima kivunjwe, na kifaa chochote cha mbao kitaoshwa kwa maji.