bible.software › Leviticus › Leviticus 6 › Leviticus 6:8
Leviticus 6:8
Bwana akamwambia Mose:
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And the LORD spake unto Moses, saying,
In Context
7Kwa njia hii kuhani atafanya upatanisho kwa ajili yake mbele za Bwana, naye atasamehewa kwa kosa lolote katika mambo hayo aliyoyatenda yaliyomfanya kuwa na hatia.” 1 Sadaka Ya Kuteketezwa
9“Mpe Aroni na wanawe agizo hili: ‘Haya ndiyo masharti kwa ajili ya sadaka ya kuteketezwa: Sadaka ya kuteketezwa itabaki kwenye moto juu ya madhabahu usiku kucha, mpaka asubuhi, nao moto lazima uwe unaendelea kuwaka juu ya madhabahu.
Read all of Leviticus 6
This Verse In Other Editions
Study Leviticus 6:8