Leviticus 7:17
Nyama yoyote ya sadaka inayobaki mpaka siku ya tatu lazima iteketezwe kwa moto.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
But the remainder of the flesh of the sacrifice on the third day shall be burnt with fire.
In Context
Cross References
Genesis 22:4Siku ya tatu Abrahamu akainua macho, akapaona mahali pale kwa mbali.
Exodus 19:11na wawe tayari siku ya tatu, kwa sababu siku hiyo, Bwana atashuka juu ya mlima Sinai machoni pa watu wote.
Leviticus 6:22Mwanawe atakayeingia mahali pake kama kuhani aliyetiwa mafuta ndiye atakayeiandaa. Ni fungu la kawaida la Bwana, nalo litateketezwa kabisa.
Leviticus 19:6Sadaka hiyo italiwa siku iyo hiyo mnayoitoa, au kesho yake; chochote kitakachobaki hadi siku ya tatu lazima kiteketezwe kwa moto.
Hosea 6:2Baada ya siku mbili atatufufua; 2 katika siku ya tatu atatuinua, 2 ili tuweze kuishi mbele zake. 1