Walawi 7:27
Ikiwa mtu yeyote atakunywa damu, mtu huyo lazima akatiliwe mbali na watu wake.’ ” 1 Fungu La Makuhani
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
26Popote mtakapoishi, kamwe msinywe damu ya ndege yeyote wala ya mnyama.
Cross References
Leviticus 7:20Lakini kama mtu yeyote najisi akila nyama yoyote ya sadaka ya amani iliyotolewa kwa Bwana, huyo mtu lazima akatiliwe mbali na watu wake.
Hebrews 10:29Je, mnadhani ni adhabu kali kiasi gani anayostahili kupewa mtu aliyemkanyaga Mwana wa Mungu chini ya nyayo zake, yeye aliyeifanya damu ya Agano iliyomtakasa kuwa kitu najisi na kumtendea maovu Roho wa neema?