bible.software › Leviticus › Leviticus 7 › Leviticus 7:38
Leviticus 7:38
ambayo Bwana alimpa Mose juu ya Mlima Sinai siku ile alipowaagiza Waisraeli walete sadaka zao kwa Bwana, katika Jangwa la Sinai.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Which the LORD commanded Moses in mount Sinai, in the day that he commanded the children of Israel to offer their oblations unto the LORD, in the wilderness of Sinai.
In Context
37Basi haya ndiyo masharti kuhusu sadaka ya kuteketezwa, sadaka ya nafaka, sadaka ya dhambi, sadaka ya hatia, sadaka ya kuwekwa wakfu, na sadaka ya amani,
Read all of Leviticus 7
Cross References
Leviticus 1:1Bwana akamwita Mose na kusema naye kutoka kwenye Hema la Kukutania, akamwambia,
This Verse In Other Editions
Study Leviticus 7:38