bible.software › Leviticus › Leviticus 9 › Leviticus 9:14
Leviticus 9:14
Akasafisha sehemu za ndani na miguu, akaviteketeza juu ya sadaka ya kuteketezwa juu ya madhabahu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And he did wash the inwards and the legs, and burnt them upon the burnt offering on the altar.
In Context
13Wakamletea sadaka ya kuteketezwa kipande kwa kipande, pamoja na kichwa, naye akaviteketeza juu ya madhabahu.
15Kisha Aroni akaleta sadaka ile iliyokuwa kwa ajili ya watu. Akachukua yule mbuzi wa sadaka ya dhambi kwa ajili ya watu, akamchinja na kumtoa kwa ajili ya sadaka ya dhambi, kama alivyofanya kwa ile ya kwanza.
Read all of Leviticus 9
This Verse In Other Editions
Study Leviticus 9:14