Luke 1:12
Zekaria alipomwona huyo malaika, akafadhaika sana, akajawa na hofu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And when Zacharias saw him, he was troubled, and fear fell upon him.
In Context
Cross References
Judges 13:22Manoa akamwambia mkewe, “Hakika tutakufa, kwa kuwa tumemwona Mungu.”
Daniel 10:7Mimi Danieli, ni mimi peke yangu niliyeona hayo maono; watu waliokuwa pamoja nami hawakuyaona, lakini waligubikwa na hofu kuu, hata wakakimbia na kujificha.
Luke 1:29Maria akafadhaishwa sana na maneno haya, akajiuliza moyoni, “Salamu hii ni ya namna gani?”
Acts 10:4Kornelio akamkazia macho kwa hofu akasema, “Kuna nini, Bwana?” Malaika akamwambia, “Sala zako na sadaka zako kwa maskini zimefika juu na kuwa ukumbusho mbele za Mungu.