Luke 1:14
Yeye atakuwa furaha na shangwe kwako, nao watu wengi watashangilia kwa sababu ya kuzaliwa kwake.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And thou shalt have joy and gladness; and many shall rejoice at his birth.
In Context
Cross References
Genesis 21:6Sara akasema, “Mungu ameniletea kicheko, kila mmoja atakayesikia jambo hili atacheka pamoja nami.”
Proverbs 23:15Mwanangu, kama moyo wako una hekima, 2 basi moyo wangu utafurahi, 1
Jeremiah 20:15Alaaniwe mtu yule aliyemletea baba yangu habari, 2 yule aliyemfanya afurahi sana, akisema, 1 “Mtoto amezaliwa kwako, 2 tena mtoto wa kiume!” 1