Luke 1:23
Muda wake wa kuhudumu Hekaluni ulipomalizika, akarudi nyumbani kwake.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
24Baada ya muda usio mrefu, Elizabeti mkewe akapata mimba, naye akajitenga kwa miezi mitano.
Cross References
1 Chronicles 9:25Ndugu zao katika vijiji vyao walikuwa wakija mara kwa mara na kuwasaidia katika kazi zao kwa vipindi mbalimbali vya siku saba.