Luke 1:38
Maria akasema, “Tazama, mimi ni mtumishi wa Bwana. Na iwe kwangu kama ulivyosema.” Kisha malaika akaondoka, akamwacha. 1 Maria Aenda Kumtembelea Elizabeti
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
37Kwa maana kwa Mungu hakuna lisilowezekana.”
39Wakati huo Maria akajiandaa, akaharakisha kwenda katika mji mmoja kwenye vilima vya Uyahudi.
Cross References
2 Samuel 7:25“Basi sasa, Bwana, ukaitimize ahadi uliyosema kuhusu mtumishi wako na nyumba yake milele. Fanya kama ulivyoahidi,
Psalms 119:38Mtimizie mtumishi wako ahadi yako, 2 ili upate kuogopwa. 1