Luka 1:40
Akaingia nyumbani kwa Zekaria na kumsalimu Elizabeti.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And entered into the house of Zacharias, and saluted Elisabeth.
In Context
39Wakati huo Maria akajiandaa, akaharakisha kwenda katika mji mmoja kwenye vilima vya Uyahudi.