Luke 1:63
Akaomba wampe kibao cha kuandikia na kwa mshangao wa kila mtu akaandika: “Jina lake ni Yohana.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And he asked for a writing table, and wrote, saying, His name is John. And they marvelled all.
In Context
62Basi wakamfanyia Zekaria baba yake ishara ili kujua kwamba yeye angependa kumpa mtoto jina gani.
64Papo hapo kinywa chake kikafunguliwa na ulimi wake ukaachiwa, akawa anaongea akimsifu Mungu.
Cross References
Proverbs 3:3Usiache kamwe upendo na uaminifu vitengane nawe; 2 vifunge shingoni mwako, 2 viandike katika ubao wa moyo wako. 1
Jeremiah 17:1“Dhambi ya Yuda imechorwa kwa kalamu ya chuma, 2 imeandikwa kwa ncha ya almasi, 1 kwenye vibao vya mioyo yao 2 na kwenye pembe za madhabahu zao. 1
Luke 1:13Lakini malaika akamwambia, “Usiogope, Zekaria, kwa maana Mungu amesikia maombi yako. Mkeo Elizabeti atakuzalia mtoto wa kiume, nawe utamwita jina lake Yohana.