The Bible Software
bible.softwareLukeLuke 1 › Luke 1:67

Luke 1:67

Zekaria, baba yake, akajazwa na Roho Mtakatifu, naye akatoa unabii, akisema: 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And his father Zacharias was filled with the Holy Ghost, and prophesied, saying,

In Context

66Kila aliyesikia habari hizi alishangaa akauliza, “Je, mtoto huyu atakuwa mtu wa namna gani?” Maana mkono wa Bwana ulikuwa pamoja naye. 1 Unabii Wa Zekaria

68“Ahimidiwe Bwana, Mungu wa Israeli, 2 kwa kuwa amewajilia watu wake na kuwakomboa. 1

Read all of Luke 1

Cross References

Numbers 11:25Kisha Bwana akashuka katika wingu na kunena na Mose, naye akachukua sehemu ya Roho iliyokuwa juu ya Mose na kuiweka juu ya wale wazee sabini. Roho aliposhuka juu yao, wakatoa unabii, lakini hawakufanya hivyo tena.

Joel 2:28“Hata itakuwa, baada ya hayo, 2 nitamimina Roho wangu juu ya wote wenye mwili. 1 Wana wenu na binti zenu watatabiri, 2 wazee wenu wataota ndoto, 2 na vijana wenu wataona maono. 1

Luke 1:41Naye Elizabeti aliposikia salamu ya Maria, mtoto aliyekuwa tumboni mwake akaruka. Elizabeti akajazwa na Roho Mtakatifu,

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Luke 1:67

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Luke 1:66Luke 1Luke 1:68 →