Luke 10:19
Tazama nimewapa mamlaka ya kukanyaga nyoka na nge na juu ya nguvu zote za adui; wala hakuna kitu chochote kitakachowadhuru.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
18Yesu akawaambia, “Nilimwona Shetani akianguka kutoka mbinguni kama umeme wa radi.
Cross References
2 Chronicles 10:11Baba yangu aliweka nira nzito juu yenu, mimi nitaifanya hata iwe nzito zaidi. Baba yangu aliwachapa kwa mijeledi; mimi nitawachapa kwa nge.’ ”
Isaiah 11:8Mtoto mchanga atacheza karibu na shimo la nyoka, 1 naye mtoto mdogo ataweka mkono wake 2 kwenye kiota cha fira. 1
Mark 16:18watashika nyoka kwa mikono yao; na hata wakinywa kitu chochote cha kuua, hakitawadhuru kamwe; wataweka mikono yao juu ya wagonjwa, nao watapona.” 1 [Yesu Apaa Kwenda Mbinguni (Luka 24:50-53; Matendo 1:9-11)
Luke 21:17Mtachukiwa na watu wote kwa ajili ya Jina langu.
Romans 8:31Tuseme nini basi kuhusu haya? Ikiwa Mungu yuko upande wetu, ni nani awezaye kuwa kinyume chetu?
Hebrews 13:5Yalindeni maisha yenu msiwe na tabia ya kupenda fedha, bali mridhike na vile mlivyo navyo, kwa sababu Mungu amesema, 1 “Kamwe sitakuacha, 2 wala sitakupungukia.”