Luke 10:35
Kesho yake, yule Msamaria akachukua dinari mbili + 10:35 Dinari mbili ni sawa na mshahara wa kibarua wa siku mbili. akampa yule mwenye nyumba ya wageni na kusema, ‘Mtunze, nami nirudipo nitakulipa gharama yoyote ya ziada uliyotumia kwa ajili yake.’
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Matthew 20:2Baada ya kukubaliana na hao vibarua kuwalipa ujira wa dinari + 20:2 Dinari moja ilikuwa kama mshahara wa kibarua wa siku moja. moja kwa siku, akawapeleka kwenye shamba lake la mizabibu.
Romans 16:23Gayo, ambaye ni mwenyeji wangu na wa kanisa lote, anawasalimu. Erasto, mweka hazina wa mji huu, pamoja na Kwarto ndugu yetu pia wanawasalimu. [