Luke 10:5
“Mkiingia katika nyumba yoyote, kwanza semeni, ‘Amani iwe kwenu.’
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And into whatsoever house ye enter, first say, Peace be to this house.
In Context
4Msichukue mkoba, wala mfuko, wala viatu, na msimsalimu mtu yeyote njiani.
6Kama kuna mtu wa amani humo, basi amani yenu itakuwa juu yake. La sivyo, itawarudia.
Cross References
Isaiah 57:19nikiumba sifa midomoni ya waombolezaji 2 katika Israeli. 1 Amani, amani, kwa wale walio mbali 2 na kwa wale walio karibu,” 2 asema Bwana. “Nami nitawaponya.” 1
Luke 19:9Ndipo Yesu akamwambia, “Leo, wokovu umeingia nyumbani humu, kwa sababu huyu naye ni mwana wa Abrahamu.
2 Corinthians 5:18Haya yote yanatokana na Mungu, ambaye ametupatanisha sisi na nafsi yake kwa njia ya Yesu Kristo na kutupata sisi huduma ya upatanisho: