Luke 11:13
Basi ikiwa ninyi mlio waovu, mnajua kuwapa watoto wenu vitu vizuri, si zaidi sana Baba yenu aliye mbinguni atawapa Roho Mtakatifu wale wamwombao!” 1 Yesu Na Beelzebuli (Mathayo 12:22-30; Marko 3:20-27)
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
12Au mtoto akimwomba yai atampa nge?
Cross References
Genesis 6:5Bwana akaona jinsi uovu wa mwanadamu ulivyokuwa mkubwa duniani, na ya kuwa kila mwelekeo wa mawazo ya moyo wake wakati wote ulikuwa mbaya tu.
Job 15:14“Mwanadamu ni kitu gani, hata aweze kuwa safi, 2 au yeye aliyezaliwa na mwanamke, hata aweze kuwa mwadilifu? 1
Proverbs 1:23Kama mngekuwa mmeitikia karipio langu, 2 ningekuwa nimemimina roho yangu kwenu 2 na kuwafahamisha maneno yangu. 1
Isaiah 49:15“Je, mama aweza kumsahau mtoto 2 aliyeko matitini mwake akinyonya, 1 wala asiwe na huruma 2 juu ya mtoto aliyemzaa? 1 Ingawa anaweza kusahau, 2 mimi sitakusahau wewe! 1
Joel 2:28“Hata itakuwa, baada ya hayo, 2 nitamimina Roho wangu juu ya wote wenye mwili. 1 Wana wenu na binti zenu watatabiri, 2 wazee wenu wataota ndoto, 2 na vijana wenu wataona maono. 1
Matthew 5:45ili mpate kuwa watoto wa Baba yenu aliye mbinguni. Kwa maana yeye huwaangazia jua lake watu waovu na watu wema, naye huwanyeshea mvua wenye haki na wasio haki.