The Bible Software
bible.softwareLukeLuke 11 › Luke 11:22

Luke 11:22

Lakini mtu mwenye nguvu zaidi kumliko akimshambulia na kumshinda, yeye humnyangʼanya silaha zake zote alizozitegemea, na kuchukua nyara.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

But when a stronger than he shall come upon him, and overcome him, he taketh from him all his armour wherein he trusted, and divideth his spoils.

In Context

21“Mtu mwenye nguvu aliyejifunga silaha anapoilinda nyumba yake, mali yake iko salama.

23“Mtu asiyekuwa pamoja nami yu kinyume nami, na mtu ambaye hakusanyi pamoja nami, hutawanya. 1 Kurudi Kwa Pepo Mchafu (Mathayo 12:43-45)

Read all of Luke 11

Cross References

Isaiah 27:1Katika siku ile, 1 Bwana ataadhibu kwa upanga wake, 2 upanga wake mkali, mkubwa na wenye nguvu, 1 ataadhibu Lewiathani + 27:1 Lewiathani ni mnyama mkubwa wa baharini mwenye magamba anayefanana na joka kubwa, mwenye umbo la kutisha, asiyeweza kuvuliwa. yule nyoka apitaye kwa mwendo laini, 2 Lewiathani yule nyoka mwenye kujipinda; 1 atamuua joka huyo mkubwa sana wa baharini.

Isaiah 53:12Kwa hiyo nitamgawia sehemu miongoni mwa wakuu, 2 naye atagawana nyara pamoja na wenye nguvu, 1 kwa sababu aliyamimina maisha yake hadi mauti, 2 naye alihesabiwa pamoja na wakosaji. 1 Kwa kuwa alichukua dhambi za wengi, 2 na kuwaombea wakosaji.

Colossians 2:15Mungu akiisha kuzivua enzi na mamlaka, alizifanya kuwa kitu cha fedheha hadharani kwa kuziburura kwa ujasiri, akizishinda katika msalaba wa Kristo.

1 John 4:4Watoto wapendwa, ninyi mmetokana na Mungu, nanyi mmewashinda kwa sababu yeye aliye ndani yenu ni mkuu kuliko yeye aliye katika ulimwengu.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Luke 11:22

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Luke 11:21Luke 11Luke 11:23 →