Luka 11:28
Yesu akajibu, “Wamebarikiwa zaidi wale wanaolisikia neno la Mungu na kulitii.” 1 Ishara Ya Yona (Mathayo 12:38-42)
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
But he said, Yea rather, blessed are they that hear the word of God, and keep it.
In Context
Cross References
Psalms 112:1Msifuni Bwana. 1 Heri mtu yule amchaye Bwana, 2 mtu yule apendezwaye sana na amri zake. 1
Psalms 128:1Heri ni wale wote wamchao Bwana, 2 waendao katika njia zake. 1
Matthew 7:21“Si kila mtu aniambiaye, ‘Bwana, Bwana,’ atakayeingia katika Ufalme wa Mbinguni, bali ni yeye afanyaye mapenzi ya Baba yangu aliye mbinguni.
Luke 6:47Nitawaonyesha jinsi alivyo mtu yule anayekuja kwangu na kusikia maneno yangu na kuyatenda.
John 13:17Sasa kwa kuwa mmejua mambo haya, heri yenu ninyi kama mkiyatenda.
1 John 3:21Wapendwa, kama mioyo yetu haituhukumu, tunao ujasiri mbele za Mungu,