The Bible Software
bible.softwareLukaLuka 11 › Luka 11:34

Luka 11:34

Jicho lako ni taa ya mwili wako. Kama jicho lako ni zima, mwili wako wote pia umejaa nuru. Lakini kama jicho ni bovu, mwili wako wote pia umejaa giza.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

The light of the body is the eye: therefore when thine eye is single, thy whole body also is full of light; but when thine eye is evil, thy body also is full of darkness.

In Context

33“Hakuna mtu yeyote awashaye taa na kuiweka mahali palipofichika au kuifunikia chini ya bakuli. Badala yake huiweka juu ya kinara chake, ili watu wote wanaoingia waone nuru.

35Kwa hiyo, hakikisha kwamba nuru iliyoko ndani yako isiwe giza.

Read all of Luka 11

Cross References

2 Kings 6:15Kesho yake asubuhi na mapema, mtumishi wa mtu wa Mungu alipoamka na kutoka nje, jeshi, pamoja na farasi na magari ya vita, likawa limeuzunguka mji. Mtumishi wake akasema, “Ole wetu, bwana wangu! Tutafanya nini?”

Psalms 119:18Yafungue macho yangu nipate kuona 2 mambo ya ajabu katika sheria yako. 1

Isaiah 6:10Fanya mioyo ya watu hawa kuwa migumu, 2 fanya masikio yao yasisikie, 2 na upofushe macho yao. 1 Wasije wakaona kwa macho yao, 2 na wakasikiliza kwa masikio yao, 2 wakaelewa kwa mioyo yao, 1 nao wakageuka, nikawaponywa.”

Isaiah 42:19Ni nani aliye kipofu isipokuwa mtumishi wangu, 2 na kiziwi kama mjumbe ninayemtuma? 1 Ni nani aliye kipofu kama yeye aliyejitoa kwangu, 2 aliye kipofu kama mtumishi wa Bwana? 1

Jeremiah 5:21Sikieni hili, enyi watu wapumbavu, msio na akili, 2 mlio na macho lakini hamwoni, 2 mlio na masikio lakini hamsikii: 1

Mark 4:12ili, 1 “ ‘daima waone lakini wasitambue, 2 daima wasikie lakini wasielewe; 1 wasije wakageuka, wakatubu na kusamehewa!’ ” 1 Yesu Afafanua Maana Ya Mfano Wa Mbegu (Mathayo 13:18-23; Luka 8:11-15)

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Luka 11:34

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Luka 11:33Luka 11Luka 11:35 →