Luke 11:40
Enyi wapumbavu! Hamjui kuwa yeye aliyetengeneza nje ndiye alitengeneza na ndani pia?
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Ye fools, did not he that made that which is without make that which is within also?
In Context
41Basi toeni sadaka ya vile mlivyo navyo, na tazama, vitu vyote vitakuwa safi kwenu.
Cross References
Genesis 2:7Bwana Mungu alimuumba mtu kutoka mavumbi + 2:7 Neno la Kiebrania la mavumbi ya ardhi ndilo kiini cha jina Adamu. ya ardhi, akampulizia pumzi ya uhai puani mwake, naye mtu akawa kiumbe hai.
Psalms 14:1Mpumbavu anasema moyoni mwake, 2 “Hakuna Mungu.” 1 Wameharibika, matendo yao ni maovu kabisa; 2 hakuna hata mmoja atendaye mema. 1
Psalms 75:4Kwa wale wenye majivuno ninasema, 2 ‘Msijisifu tena,’ 2 kwa wale waovu, ‘Msiinue pembe zenu. 1
Proverbs 1:22“Enyi wajinga, mtangʼangʼania ujinga wenu hadi lini? 2 Mpaka lini wenye mizaha watafurahia mizaha, 2 na wapumbavu kuchukia maarifa? 1
Jeremiah 5:21Sikieni hili, enyi watu wapumbavu, msio na akili, 2 mlio na macho lakini hamwoni, 2 mlio na masikio lakini hamsikii: 1
Matthew 23:17Ninyi vipofu wapumbavu! Ni kipi kilicho kikuu zaidi: ni ile dhahabu, au ni lile Hekalu linaloifanya hiyo dhahabu kuwa takatifu?