Luka 11:45
Mtaalamu mmoja wa sheria akamjibu, akasema, “Mwalimu, unaposema mambo haya, unatutukana na sisi pia.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Then answered one of the lawyers, and said unto him, Master, thus saying thou reproachest us also.
In Context
Cross References
1 Kings 22:8Mfalme wa Israeli akamjibu Yehoshafati, “Bado yupo mtu mmoja ambaye kupitia yeye twaweza kumuuliza shauri la Bwana, lakini namchukia kwa sababu huwa hatabiri jambo lolote jema kunihusu mimi, lakini kila mara hunitabiria mabaya tu. Yeye ni Mikaya mwana wa Imla.” Yehoshafati akajibu, “Mfalme hapaswi kusema hivyo.”
Jeremiah 20:8Kila ninenapo, ninapiga kelele 2 nikitangaza ukatili na uharibifu. 1 Kwa hiyo neno la Bwana limeniletea matukano 2 na mashutumu mchana kutwa. 1
Matthew 22:35Mmoja wao, mtaalamu wa sheria, akamuuliza swali ili kumjaribu, akisema,
Luke 11:52“Ole wenu ninyi wataalamu wa sheria, kwa sababu mmeuondoa ufunguo wa maarifa. Ninyi wenyewe hamkuingia, na wale waliokuwa wanaingia mkawazuia.”
John 7:48Je, kuna kiongozi yeyote au mmoja wa Mafarisayo ambaye amemwamini?