The Bible Software
bible.softwareLukeLuke 11 › Luke 11:53

Luke 11:53

Yesu alipoondoka huko, walimu wa sheria na Mafarisayo wakaanza kumpinga vikali na kumsonga kwa maswali,

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And as he said these things unto them, the scribes and the Pharisees began to urge him vehemently, and to provoke him to speak of many things:

In Context

52“Ole wenu ninyi wataalamu wa sheria, kwa sababu mmeuondoa ufunguo wa maarifa. Ninyi wenyewe hamkuingia, na wale waliokuwa wanaingia mkawazuia.”

54wakivizia kumkamata kwa kitu atakachosema ili wamshtaki.

Read all of Luke 11

Cross References

Isaiah 9:12Waashuru kutoka upande wa mashariki 2 na Wafilisti kutoka upande wa magharibi 2 wameila Israeli kwa kinywa kilichopanuliwa. 1 Hata kwa haya yote, hasira yake haijageukia mbali, 2 mkono wake bado umeinuliwa juu. 1

Jeremiah 20:10Ninasikia minongʼono mingi, 2 “Hofu iko pande zote! 2 Mshtakini! Twendeni tumshtaki!” 1 Rafiki zangu wote wananisubiri niteleze, 2 wakisema, 1 “Labda atadanganyika; 2 kisha tutamshinda 2 na kulipiza kisasi juu yake.” 1

Luke 20:27Baadhi ya Masadukayo, wale wasemao kwamba hakuna ufufuo wa wafu, wakamjia Yesu na kumuuliza,

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Luke 11:53

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Luke 11:52Luke 11Luke 11:54 →