Luke 11:7
“Kisha yule aliyeko ndani amjibu, ‘Usinisumbue. Mlango umefungwa, nami na watoto wangu tumelala. Siwezi kuamka nikupe chochote.’
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
6Kwa sababu rafiki yangu amekuja kutoka safarini, nami sina kitu cha kumpa.’
Cross References
Song of Solomon 5:3Nimevua joho langu: 2 je, ni lazima nivae tena? 1 Nimenawa miguu yangu: 2 je, ni lazima niichafue tena? 1
Luke 7:6Hivyo Yesu akaongozana nao, lakini alipokuwa hayuko mbali na nyumbani, yule jemadari akatuma rafiki zake kumwambia Yesu, “Bwana, usijisumbue, kwani mimi sistahili wewe kuingia chini ya dari yangu.
Galatians 6:17Hatimaye, tangu sasa mtu yeyote asinitaabishe, kwa maana nachukua katika mwili wangu chapa zake Yesu.