Luka 11:9
“Kwa hiyo nawaambia: Ombeni nanyi mtapewa; tafuteni nanyi mtapata; bisheni nanyi mtafunguliwa mlango.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
10Kwa kuwa kila aombaye hupewa; naye kila atafutaye hupata; na kila abishaye hufunguliwa mlango.
Cross References
Psalms 27:4Jambo moja ninamwomba Bwana, 2 hili ndilo ninalolitafuta: 1 niweze kukaa nyumbani mwa Bwana 2 siku zote za maisha yangu, 1 niutazame uzuri wa Bwana 2 na kumtafuta hekaluni mwake. 1
Psalms 34:4Nilimtafuta Bwana naye akanijibu, 2 akaniokoa kwenye hofu zangu zote. 1
Psalms 50:15na uniite siku ya taabu; 2 nami nitakuokoa, nawe utanitukuza.”
Psalms 118:5Wakati wa maumivu yangu makuu nilimlilia Bwana, 2 naye akanijibu kwa kuniweka huru. 1
Song of Solomon 5:6Nilimfungulia mpenzi wangu, 2 lakini mpenzi wangu alishaondoka; 2 alikuwa amekwenda zake. 1 Moyo wangu ulishuka kwa kuondoka kwake. 2 Nilimtafuta lakini sikumpata. 2 Nilimwita lakini hakunijibu. 1
Isaiah 55:6Mtafuteni Bwana maadamu anapatikana; 2 mwiteni maadamu yu karibu. 1