The Bible Software
bible.softwareLukaLuka 12 › Luka 12:17

Luka 12:17

Akawaza moyoni mwake, ‘Nifanye nini? Sina mahali pa kuhifadhi mavuno yangu.’

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And he thought within himself, saying, What shall I do, because I have no room where to bestow my fruits?

In Context

16Kisha akawaambia mfano huu: “Shamba la mtu mmoja tajiri lilizaa sana.

18“Ndipo huyo tajiri akasema, ‘Nitafanya hivi: Nitabomoa ghala zangu za nafaka na kujenga nyingine kubwa zaidi na huko nitayahifadhi mavuno yangu yote na vitu vyangu.

Read all of Luka 12

Cross References

Isaiah 58:7Je, sio kushirikiana chakula chako na wenye njaa 2 na kuwapatia maskini wasiokuwa na makao hifadhi, 1 unapomwona aliye uchi, umvike, 2 wala si kumkimbia mtu wa nyama na damu yako mwenyewe? 1

Luke 3:11Yohana akawaambia, “Aliye na kanzu mbili amgawie asiye nayo, naye aliye na chakula na afanye vivyo hivyo.”

Luke 11:41Basi toeni sadaka ya vile mlivyo navyo, na tazama, vitu vyote vitakuwa safi kwenu.

Luke 12:29Wala msisumbuke mioyoni mwenu mtakula nini au mtakunywa nini. Msiwe na wasiwasi juu ya haya.

Luke 14:13Bali ufanyapo karamu, waalike maskini, vilema na vipofu,

Luke 16:9Nawaambia, tumieni mali ya kidunia kujipatia marafiki, ili itakapokwisha, mkaribishwe katika makao ya milele.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Luka 12:17

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Luka 12:16Luka 12Luka 12:18 →