Luke 12:19
Nami nitaiambia nafsi yangu, “Nafsi, unavyo vitu vingi vizuri ulivyojiwekea akiba kwa miaka mingi. Pumzika; kula, unywe, ufurahi.” ’
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Deuteronomy 8:12Angalia wakati mtakapokuwa mmekula na kushiba, mkajenga nyumba nzuri na kukaa humo,
Job 21:11Huwatoa watoto wao nje kama kundi; 2 wadogo wao huchezacheza. 1
Psalms 49:5Kwa nini niogope siku mbaya zinapokuja, 2 wakati wadanganyifu waovu wanaponizunguka, 1
Psalms 52:5Hakika Mungu atakushusha chini 2 kwa maangamizi ya milele: 1 atakunyakua na kukuondoa kwa nguvu 2 kutoka hema yako, 2 atakungʼoa kutoka nchi ya walio hai. 1
Proverbs 14:24Utajiri wa wenye hekima ni taji yao, 2 bali upumbavu wa wapumbavu huzaa upumbavu. 1
Proverbs 23:5Kufumba na kufumbua utajiri hutoweka, 2 huwa kama umepata mabawa ghafula, 2 ukaruka na kutoweka angani kama tai. 1