bible.software › Luke › Luke 12 › Luke 12:38
Luke 12:38
Itakuwa heri kwa watumwa hao ikiwa bwana wao atakapokuja atawakuta wamekesha hata kama atakuja mnamo usiku wa manane, au karibu na mapambazuko.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And if he shall come in the second watch, or come in the third watch, and find them so, blessed are those servants.
In Context
37Heri wale watumishi ambao bwana wao atakapokuja atawakuta wakiwa wanakesha. Amin, nawaambia, atajifunga mkanda wake na kuwaketisha ili wale, naye atakuja na kuwahudumia.
39Lakini fahamuni jambo hili: Kama mwenye nyumba angalijua saa mwizi atakuja, asingaliiacha nyumba yake kuvunjwa.
Read all of Luke 12
Cross References
Matthew 25:6“Usiku wa manane pakawa na kelele: ‘Tazameni, huyu hapa bwana arusi! Tokeni nje mkamlaki!’
This Verse In Other Editions
Study Luke 12:38