Luka 12:51
Mnadhani nimekuja kuleta amani duniani? Hata kidogo; si amani bali utengano.
Biblia Takatifu
In The King James Version
Suppose ye that I am come to give peace on earth? I tell you, Nay; but rather division:
In Context
50Ninao ubatizo ambao inanipasa niupokee; jinsi gani ninavyohangaika mpaka ukamilike!
52Na tangu sasa, jamaa ya watu watano itagawanyika; watatu dhidi ya wawili, na wawili dhidi ya watatu.
Cross References
Matthew 10:34“Msidhani kwamba nimekuja kuleta amani duniani. Sikuja kuleta amani bali upanga.
Luke 12:49“Nimekuja kuwasha moto duniani, laiti ungekuwa umewaka tayari!