Luke 12:53
Watafarakana baba dhidi ya mwanawe na mwana dhidi ya babaye, mama dhidi ya bintiye na binti dhidi ya mamaye, naye mama mkwe dhidi ya mkwewe na mkwe dhidi ya mama mkwe wake.” 1 Kutambua Majira (Mathayo 16:2-3)
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Micah 7:6Kwa kuwa mwana humdharau baba yake, 2 naye binti huinuka dhidi ya mama yake, 1 mkwe kuwa kinyume na mama mkwe wake: 2 adui wa mtu ni wale wa nyumbani mwake hasa. 1
Matthew 10:21“Ndugu atamsaliti ndugu yake ili auawe, naye baba atamsaliti mtoto wake. Watoto nao wataasi dhidi ya wazazi wao na kusababisha wauawe.