Luke 13:1
Wakati huo huo, kulikuwa na watu waliomwambia Yesu habari za Wagalilaya ambao Pilato aliwaua, na damu ya hao watu akaichanganya na dhabihu yao waliyokuwa wanatoa.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Lamentations 2:20“Tazama, Ee Bwana, ufikirie: 2 Ni nani ambaye umepata 2 kumtendea namna hii? 1 Je, wanawake wakule wazao wao, 2 watoto waliowalea? 1 Je, kuhani na nabii auawe 2 mahali patakatifu pa Bwana? 1
Matthew 27:2Wakamfunga, wakampeleka na kumkabidhi kwa Pilato, ambaye alikuwa mtawala wa Kirumi. 1 Yuda Ajinyonga (Matendo 1:18-19)
1 Peter 4:17Kwa maana wakati umewadia wa hukumu kuanzia katika nyumba ya Mungu. Basi kama ikianzia kwetu sisi, mwisho wa hao wasiotii Injili ya Mungu utakuwaje?